Michael Jackson's Last Home For Sale

Posted: Thursday, August 5, 2010 by chimwemwe in Labels:
0

The Los Angeles Mansion ambamo alikuwa akiishi ''The King Of  Pop'' imeweka kwenye mnada  na kampuni RealEstalker.com kwa bei ya $28.9 Million,
Michael Jackson alikuwa anapangisha Mansion hiyo yenye vyumba 7, mabafu 13,  Freplaces 12, bwawa la kuogelea, Chumba cha wageni, chumba cha mazoezi, chumba cha kuangalia cimena na wine cellar inamilikiwa na Herbert Gues, C.E.O wa kampuni ya nguo ya kimarekani ya Ed Hardy iko Holmby Hills huko Los Angeles

0 comments: