Man Kills 17-Month Old Little Boy For Acting Like A Girl
Posted: Friday, August 6, 2010 by chimwemwe in Labels: ©chimwemwe christopher. All Right Reserved
0
| Pedro Jones (Small Picture Roy Jones.) |
Kutokana na ripoti iliyotolewa Pedro Jones alimpiga mtoto wa mchumwa wake aitwae Roy Jones kifuani na kumpelekea moyo wa mtoto huyo wa miezi 17 kusimama kupiga (Cardiac Arrest) pamoja na kuona kwamba mtoto alikuwa hajigusi hakupiga yeye 911, mtu mwingine alipiga simu baada ya kuona mtoto huyo amelegea.
Polisi walipomuuliza Jones kwa nini kafanya hivyo yeye akasema "was trying to make the little boy tough" so he punched him so tha he would stop acting like a girl
Pamoja na kuwa mtoto alikuwa anatumia jina la ubini wake but hakuwa mtoto wake wa kumzaa
Polisi wamemshitaki Jones kuuwa na child endangerment. Ripoti zinasema kwamba waindesha mashtaka wana mpango wa kumwongezea kosa la chuki kwa mtoto
By Michael Harris