Sandra Bullock Is Hollywood's Highest-Paid Actress

Posted: Wednesday, August 4, 2010 by chimwemwe in Labels:
0

Sandra Bullock akiwa na Academy Award aliyoshinda Best Actress 
                                      
Sandra Bullock  ni mwigizaji wa kike kutoka nchini marekani anaejulikana sana katika filamu alizocheza kama 'Speed' 'The Proposal' na 'While You Were Sleeping', Mwanamama huyu kwa mwaka huu ameweza ushinda  Academy Award kama mwigizaji bora wa kike kwa movie yake ya 'The Blind Side'. Mwanamama huyu mwenye mi
aka 46 kati ya July 2009 na July 2010 ameweza kutengeneza U$D 56. Million 
( Tsh.85,120,000,000)na kumfanya leo atajwe kwenye List ya Forbes kama  Hollywood Best-Payed Actress Nafasi inayomfanya Awe The Highest Paid Actress in the World.
akifuatiwa na Reese Witherspoon na Cameron Diaz ambao kila mmoja alitengeza U$S 32. Million nafasi ya nne inashikiliwa na Jennifer Aniston ambaye ametengeneza  U$D 27. Million  na nafasi ya tano inashikiliwa na mwanadada Sarah Jessica Parker ambae ametengeneza U$D 25. Million

0 comments: