 |
| B.o.B & Hayley William of PARAMORE |
B.o.B a.k.a Bobby Ray amemshirikisha mwanadada Hayley Williams but cha kushangaza watu hawa wawili hawajawahi kukutana Rasmi Though wameshirikiana Kuimba Wimbo Huu.
 |
| B.o.B & Hayley William in "Airplanes" (video) |
B.o.B alireveal hilo wiki iliyopita kwa Toby Knapp wa Washington, D.C.'s Hot 99.5 FM kwamba yeye na Hayley hawaja kutana rasmi akasema "I always wanted to work with Hayley and by us being on the same label it made it a lot more [likely] to happen. And it just really manifested in that song," Rapa huyo kutoka Atlanta aliongezea "I still haven't met her yet. It's ironic and funny at the same time because it's one of the most popular songs and we never met."
 |
| B.o.B & Keyshia Cole on BET 2010 |
Naye Hayley William aliiambia MTV kitu hicho hicho mwezi May akasema "We've never met in person," she said. "We've talked on Twitter, and he's really cool. We'll never meet. We're going to perform the song live via Skype," she joked.
 |
| Whitney Houston & Enrique Iglesias |
Pia walirekodi scenes za video ya wimbo huo wakiwa tofauti kutokana na ratiba ya ziara ya Harley na bendi yake ya Paramore.
Wakati B.o.B anaperform wimbo huu katika tuzo za BET in June Keyshia Cole alisimama na kuimba sehemu ya Hayley.
Jambo kama hili lilitokea tena mwaka 2000 kati ya Enrique Iglesias na Whitney Houston wakati wanarekodi toleo la kwanza la wiimbo wa "Could I Have This Kiss Forever" Enrique alirekodi akiwa Los Angeles Marekani na Whitney Alirekodi akiwa Hamburg, Ujerumani. Walikuja kukutana baadae kwa ajili ya kutengeneza matoleo mengine ya wimbo huo na video ya wimbo huo. amao ulishika namba moja katika chati za nchi mbali mbali kama Switzerland na Spain
 |
| B.o.B & Hayley William |