50 Cent Gains weight

Posted: Sunday, August 8, 2010 by chimwemwe in Labels:
0

50 Cent weight Loss
50 Cent weight Loss
50 Cent alijipunguza uzito ili aweze kucheza filamu ya Things Fall Part miezi michazhe iliyopita, sasa kazi imeisha amerudisha mwili wake wa zamani akionekana mwenye afya zaidi. anaeleza “It's the art of eating. The no complex route. It seems everything that is fun is no good for you. I had different things I don't usually have in my diet to put the weight back. now 210lbs(95.Kgs). I was a little fat boy, but I'm back at the gym. At my maximum weight I was 214(97.Kgs).”
Katika filamu Hiyo 50 cent ambae Jina lake halisi ni Curtis Jackson alicheza kama mchezaji wa American Football ambae anaugua ugonjwa wa Cancer alipunguza uzito wake kutoka 214lbs(97.Kgs) to 160lbs(73.Kgs). Kwa muda wa wiki tisa kwa kutumia chakula cha majimaji (liquid diet) and working out three hours a day.
50 Cent Currently

0 comments: